Hapa ndipo umuhimu wa Papy Kabamba Tshishimbi unapokuja, inawezekana Bernard Morrison ni mchezaji hatari lakini Papy Kabamba Tshishimbi ndiye mchezaji.
Makala hii inakuletea baadhi ya sajili ambazo zimeonekana kulipa na wachezaji kuingia moja kwa moja katika vikosi vya kwanza na kuleta faidi katika timu
Lakini baada ya ujio wa Morrison mashabiki wa Yanga wamekua wakisikika wakisema nawao wamepata Deo Kanda wao, kwa maana wamepata kiungo mahiri wa pembeni mwenye uwezo kama wake.