Tumlaumu Mkude mwenyewe kwa kushindwa kwenda CAN 2019 nchini Misri si Amunike. Tenga muda uisome kwa makini hii.
Nini ambacho Mkude anatakiwa kufanya....
Haya yote sio lazima ayasikie kutoka kwa Aussems ni lazima aujue mchezo kama mchezaji. Na hapa ndio utapata maana halisi ya maneno ya Meddie Kagere kuwa “Game Intelligence is better than age” na ndio maana kila siku Emmanuel okwi anaonekana kuwa mtu
ni mzuri kukaba kwa kutokea nyuma (blind side defending).Kwa kule Ulaya bila shaka N'Golo Kante, Sergio Busquet, na Casemiro wanazijua kazi hizi kwa usahihi mkubwa.