BlogKiongozi Yanga: Simba imepigwa na mwekezajiThomas Mselemu4 years agoSasa kwa maana hiyo Simba imepigwa wale hawana hiyo thamani ya hiyo pesa. Hiyo bilioni 20 inaweza kua labda asimia tano tu ya uwekezaji.