Wawili hao Clatous Chama na Luis Miquissone waliondoka kwa pamoja mwaka 2022 ambapo walielekea RS Berkane na Al Ahly lakini sasa wawili hao wote wamerejea Simba
Wengi watajiuliza nini maana yangu juu ya hao wachezaji waliocheza Simba kwa vipindi viwili tofauti kila moja akikonga nafsi za mashabiki wa Wanamsimbazi na wasio wa club hiyo.