UhamishoNi Okwa sio Okrah!Thomas Mselemu2 years agoEneo la kiungo wa ushambuliaji la Simba ambalo lina utiriri wa wachezaji. Katika eneo hilo kuna mafundi kama Okrah, Okwa, Chama, Banda, Sakho, Kibu, Mwinuke na Phiri