Mabingwa AfrikaRaha ya ushindi wa “Underdog” haipimiki kwa Thermometer.Sekwao Mwendi5 years agoTafiti za mwaka 1991 zinaonyesha kuwa mashabiki wengi wa soka hupenda kuzipa timu ndogo matumaini ya kupata ushindi ili kujihakikishia furaha katika mioyo yao.