Kwanini Simba na Yanga ni masikini?
Bado vilabu hivi vikongwe vipo nyuma katika kujiwekeza na kuwa vilabu imara kiuchumi na ndani ya uwanja. Tumekuangazia nini wanaweza kufanya.
Bado vilabu hivi vikongwe vipo nyuma katika kujiwekeza na kuwa vilabu imara kiuchumi na ndani ya uwanja. Tumekuangazia nini wanaweza kufanya.
Tunastahili kusimama na kumpigia makofi John Bocco.
Maamuzi yake mawili ni ya hovyo ila yanabeba dhana kuu ya baadhi ya waamuzi wetu ya kupenda “kubalance” mambo uwanjani.
Bwalya amejiunga na Simba akitokea kwao Zambia katika klabu ya Lusaka Dynamos, ambapo inasemekana Simba waliwapokonya wenzao Yanga tonge mdomoni kutokana na Yanga pia walimuweka kwenye mipango yao ya usajili katika msimu huu.
Baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ngao ya Jamii jijini Arusha kikosi chote cha Simba kilipanda ndege kurudi Dar halafu wakaunganisha ndege kwenda Mbeya ili kuiwahi Ihefu.
Uwepo wa washambuliaji wazoefu Meddie Kagere na John Bocco lakini pia ingizo jipya Cris Mugalu.
Katika Chuji mmoja ulikua unaweza kupata viungo watatu kwa maana ya kiungo wa ulinzi, kiungo mchezeshaji na kiungo mshambuliaji, jamaa soka alilijua na lenyewe likamjua.
Timu hii imewahi kumsajili mchezaji toka Tanzania Boniface Nyagawa toka Mbeya kwanza ambaye baadaye alitimukia kwa wapinzani wao Ngaya Fc
Ingekuwa wewe ndiye kocha wa Simba ungepangeje kikosi?
Tutafanya kila jitihada kuhakikisha tunashida. Wachezaji 20 wapo tayari kwa mchezo.