Rashid Juma wa Simba mikononi mwa Polisi
Rashid Juma ni zao la Simba B ambapo alifanya vizuri akiwa chini ya Mwalim Mussa Hassan Mgosi na kupelekea kupandishwa kikosi cha wakubwa kilichokua chini ya Patrick Auseems
Rashid Juma ni zao la Simba B ambapo alifanya vizuri akiwa chini ya Mwalim Mussa Hassan Mgosi na kupelekea kupandishwa kikosi cha wakubwa kilichokua chini ya Patrick Auseems
Klabu ya soka ya Simba imecheze michezo miwili ya kirafiki katika uwanja wa Uhuru na kuibuka na ushindi katika michezo yote hiyo ambayo ilifanyika majira ya asubuhi
Msimu ujao Yanga ikikosa ubingwa tuulizwe sisi GSM” Mhandisi Hesri Said alisisitiza katika moja ya kauli zake kwa Wanayanga kuelekea msimu ujao.
Katika mchezo huo wa Kirafiki wa Kimataifa Simba wameibuka na ushindi mnono wa mabao 6 kwa sifuri
“Tuliandaa bajeti ya msimu mzima , na mimi nikawa nafanya kulingana na bajeti iliyopo
Niwahakikishie wana Simba ni taasisi kubwa kuliko mtu yoyote. Tutapata Mtendaji mwingine mzuri zaidi na shughuli zitaendelea kama kawaida”
Mwaka jana tulitumia kampuni ya kutoka Afrika Kusini lakini walituangusha sana. Nakiri makosa kama mwenyekiti.
“Sijutii uamuzi wangu . Nasonga mbele hata siku moja sijutii uamuzi wangu kwa sababu nilikaa chini na kutafakari kwa muda mrefu
Baada ya kuwepo na taarifa za hali ya….Stori zaidi.
Tajiri huyo amedai kuwa kwa sasa wameagiza vifaa ambavyo vitaweza kumwambia ni mchezaji yupi ambaye ni mzembe au ni mchezaji yupi ambaye anajituma.