Ligi KuuTazama hapa msimamo baada ya michezo ya leoThomas Mselemu4 years agoKMC haikamatiki yaendelea kugawa vichapo, Simba yaangusha dozi nzito na Namungo haikamatiki kwao
Ligi KuuKagere akabidhiwa kiatu cha kandandaMartin Kiyumbi4 years agoMtandao wa Kandanda leo umemkabidhi zawadi zake mshambuliaji wa klabu ya Simba, Meddie Kagere, baada ya kuifungia klabu hiyo mabao sita (6) katika ligi ya Vodacom Tanzania bara mwezi Agosti-Septemba.
Ligi KuuLipuli: Bado tunamipango na Adam SalambaIssack John6 years agoUongozi wa klabu ya soka ya Lipuli ‘Wanapaluhengo’ umekanusha taarifa za kupokea maombi kutoka katika klabu ya Dar Young Africans...
Ligi KuuUhamishoWachezaji 10 watakaokua lulu katika usajili wa VPL dirisha hili!Thomas Mselemu6 years ago10. Eliund Ambokile - Mbeya City Moja ya washambuliaji chipukizi wanaofanya vizuri akiwa na kikosi cha MbeyaCity huku akiwafukuzia mastar...
VideoNapata burudani kumwangalia Marcel Bonaventure lakini sijui mwakani itakuaje!Thomas Mselemu6 years agoMarcel Boniventure Kaheza "Rivaldo" jezi namba 10 ya Majimaji huku pia akicheza nafasi hiyohiyo kama ya jezi yake namba 10...
Ligi KuuSimba imechelewa kumfukuza OmogAbdul Mkeyenge6 years agoIlianza kama tetesi. Ikaja kama uvumi. Hatimaye imekuja kuwa kweli. Simba imeachana na kocha wao Mcameroon Joseph Omog. Kila zuri...
Ligi KuuUhamishoMgosi ‘again’? Naweka karata yangu kwakeAbdul Mkeyenge6 years agoMUSSA Hassan Mussa Mgosi amerudi tena uwanjani baada ya miezi kadhaa kujitokeza uwanja Taifa kulikokuwa kumetamalaki mashabiki wa Simba na...
Ligi KuuUhamishoKwasi Ruksa kwenda Simba ScThomas Mselemu6 years agoTaarifa hii ni kutoka katika klabu ya Lipuli Fc. Uongozi wa LIPULI FC unapenda kutoa taarifa kwa wanachama, mashabiki na...
Ligi KuuMtazamo wangu Ligi Kuu- VPL.Martin Kiyumbi7 years agoKulikuwa na dalili za Mbaraka Yusufu mshambuliaji wa Kagera Sugar kuibuka mchezaji bora wa ligi kuu msimu huu wa 2016-17...