Ligi KuuKwa hili la Makambo tunaelekea kuzuri!Thomas Mselemu5 years agoKwa msimu huu tuu tayari Ligi yetu imetoa zaidi ya wachezaji watatu waliokwenda katika nchi zilizoendelea kisoka na hivyo kuongeza thamani ya Ligi yetu na kufanya izidi kufwatiliwa na mawakala zaidi.