Tovuti ya kandanda inarekodi idadi ya magoli yaliyofungwa wakati wa mechi za ligi kuu, Tukiwa na lengo la kusheherekea pamoja wachezaji wanaoongoza katika ufungwaji magoli kila mwezi. Ni matarajio yetu msimu ujao tutaweza kutunza kumbukumbu zote muhimu kuhusu Ligi Kuu.


Washindi kwa Mwezi:

Mwezi Jina Magoli
Januari 2019 Salimu Aiyee 5
Disemba 2018 Heritier Makambo 4
Novemba 2018 Heritier Makambo 3
Oktoba 2018 Emmanuel Okwi 7
Septemba 2018 David Ambokile Eliud 4
Agosti 2018 Meddie Kagere 3
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz