Aliye karibu na Kichuya amng’ate sikio ‘fastaaa’.

Sambaza…. Misimu miwili imeshakamilika akiwa katika ardhi yenye udongo mwekundu, udongo ambao upo kwenye mbuga ya msimbazi, mbuga pekee yenye mnyama mmoja yani Simba. Mbuga hii ina malisho ambayo yana unafuu kuzidi mbuga zingine za mikoani, ndiyo maana wengi wa wachezaji hutamani sana kuishi kariakoo wakiamini ni sehemu yenye unafuu mkubwa kuzidi mikoani. Hapana shaka … Continue reading Aliye karibu na Kichuya amng’ate sikio ‘fastaaa’.