Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Ligi KuuUhamisho

Marcel Kaheza na SimbaSc kwisha habari!

Mshambuliaji wa Majimaji Marcel Boniventure Kaheza "Rivaldo" mwenye mabao 13 katika VPL ni swala la muda tuu kupewa jezi ya Simba rasmi. Mchezaji huyo wa zamani Simba ni kama anarudi nyumbani baada ya kukitumikia kikosi hicho alipokua kinda akiwa Simba B, kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Majimaji ilipopanda daraja...
Kombe la Dunia

Mohamed Salah kukosa kombe la dunia?

Mshambuliaji wa Liverpool  na timu ya taifa ya Misri jana alipata majeraha ya bega katika mchezo wa fainali jijini Kyiev dhidi ya Real Madrid. Mchezo huo ulimalizika kwa Liverpool kupoteza kwa mabao matatu kwa moja mbele ya Real Madrid,  magoli ya Real Madrid yalifungwa na Karim Benzema na Gareth  Bale...
Ligi KuuUhamisho

Mo Ibrahim kwenda Yanga kwa mkwanja mrefu!

Kiungo mshambuliaji wa Simba Mohamed Ibrahim "Mo" anakaribia kujiunga na Yanga sc akitokea kwa mahasimu wao  Simba sc mwishoni mwa msimu huu. Mkataba wa Mo Ibra na Simba unaisha mwisho wa msimu huu hivyo yupo huru kuongea na timu yoyote inayotaka huduma yake. Na hivyo kuipa nafasi klabu ya Yanga ...
Uhamisho

Donald Ngoma rasmi Azam!

Baada ya kuvunja mkataba wake na klabu ya Yanga kutokana na kutokuitumikia kwa muda mrefu mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma ni rasmi sasa amejiunga na klabu ya Azam fc kwa mkataba wa mwaka mmoja. Tovuti hii mwanzo iliandika tetesi za mshambuliaji huyo kujiunga na Wanalambalamba hao lakini sasa ni rasmi amesajiliwa...
Kombe la Dunia

Klabu zinazoongoza kwa kutoa wachezaji wengi kombe la dunia!

Vikosi vya timu za taifa zilizofuzu kombe la dunia nchini Russia tayari vimetajwa huku baadhi ya mastar wakikosekana kwenye timu zao. Vilabu mbalimbali vimekua vikitamani kutoa wachezaji wakazitumikie timu zao za Taifa ili kuongeza thamani yao katika soka. Klabu ya Manchester City pamoja na mafanikio makubwa waliyoyapata katika ligi pia...
Uhamisho

Hans Plujim kupishana na Ettiene Ndariagije

Ni rasmi sasa kocha Mholanzi Hans Van Plujim hatokua na kikosi cha Singida utd katika msimu ujao baada ya uongozi wa Singida utd kuthibitisha hilo. Kocha huyo aliekula amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo ilipopanda daraja mwaka jana amekataa kuongeza mkataba mwingine wa kuendelea kuinoa klabu hiyo. Huku...
Ligi Kuu

Shabani Idd atupia tatu Prisons ikilalaa Chamanzi!

Klabu ya AzamFc imeendelea kufanya vizuri katika Ligi Kuu Bara baada ya kufanikiwa kuifunga Tanzania Prisons katika dimba la Chamanzi. Azamfc wamefanikiwa kupata ushindi mnono wa mabao manne kwa moja dhidi ya Tanzânia Prisons na kuzidi kujiweka katika nafasi nzuri ya kupigania nafasi ya pili mbele ya YangaSc. Magoli ya...
1 57 58 59 60 61 66
Page 59 of 66