Kikosi bora chá VPL cha wachezaji waliosahaulika!
Ligi Kuu Bara imeshapata bingwa tayari huku tukisubiri watakaoshuka daraja na kuwapisha waliopanda daraja KMC, JKT Tanzania, Coastal Union, African Lyon, Biashaara na Allience School. Baadhi ya wachezaji waliopo katika timu zilizopo katika nafasi za juu (Simba, Yanga na Azam ) wamepigiwa chapuo kua katika kikosi bora na kugombea tuzo...