Timu ya Taifa yafuzu Afcon Misri!
Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ya Tanzania imefuzu kucheza Fainali za Africa zitakazofanyika nchini Misri. Timu ya Tanzania imefuzu kucheza Fainali hizo baada ya mpinzani wake Afrika Kusini kuwasilisha barua ya kujiondoa katika mashindano. Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) tayari wametujulisha taarifa hiyo ya kufuzu...