Kigogo wa Mtibwa afurahia Kihimbwa, Sabato kujumuishwa Taifa Stars
Wachezaji wawili wa Mtibwa Sugar wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kwa ajili ya mchezo wa kufuzu mataifa ya Afrika “AFCON” dhidi ya Uganda utakaopigwa jijini Kampala , Uganda. Stars inayofundishwa na nyota wa zamani wa Nigeria Emanuel Amunike amewajumuisha katika kikosi chake mshambuliaji Kelvin...