Mbele ya hadhara Pep Guardiola ameamua kutuumbua wanafiki wake. Ametuumbua na kutuziba midomo kwa vitendo uwanjani sio kwenye ndimi kama sisi tulivyomuhukumu awali. Najisikia aibu kuwa mmoja wao. Pep na Manchester City yake wanafanya vyema. Pep mwenyewe haonekani kujali kwa maneno tuliyowahi kumkosoa nayo siku chache alivyotua uwanja wa Ndege...
HAYIMAYE uvumi umekuwa kweli. Chelsea imepangwa na Barcelona hatua ya 16 ya Uefa Champions league. Ilianza kama uvumi, ikaja tetesi, lakini mchana wa leo viganja vya Xabi Alonso vimefanya ndoto ya wengi iwe kweli. Ni mechi ya kiume. Ni mechi ya kigumu. Ni mechi inayokutoa machozi, jasho na damu kwa...
Jana kulikuwa na mechi ya Manchester Derby, mechi ambayo ilikuwa inawakutanisha mahasimu wawili ambao msimu huu wanaonekana kama timu ambazo zinauwezo wa kuwa bingwa. Manchester City walifanikiwa kuvunja rekodi ya Manchester United ya kucheza michezo 41 bila kufungwa katika uwanja wao wa nyumbani, na kufanya washinde mechi 8 zote walizocheza...
Leo kuna mechi ambayo inashika hisia za watu wengi wapenda mpira duniani. Mechi hii inakutanisha timu ambazo zinaonekana bora kwa sasa katika ligi kuu ya England, na ndizo timu ambazo zinaongoza mbio za ubingwa wa ligi kuu ya England. Manchester City akiwa anaongoza kwa tofauti ya alama nane dhidi ya...