Kama ningeulizwa ya Mtibwa Sugar FC ilipaswa kuwa timu ya mchezo gani basi jibu langu la moja kwa moja ingekuwa Karata. Hawa ni magwiji wa mchezo ule maaarufu wa karata ' last card' wa kugemua mwisho huku watu wakificha majokers na vimbili'. Misimu mitatu ya mwishoni mambo yao hayaendi vizuri...
Tayari Yanga ameshatangazwa bingwa wa msimu wa 2021/22. Fuatilia msimamo huu live wakati mechi zikiendelea. Nitakuwa nakuletea dondoo zangu hapa katika sehemu ya maoni. ...
George Mpole kutoka Geita anaelekea kuchukua kiatu cha dhahabu. Lakini juu yake kuna Mayele ambaye ni hatari zaidi langoni naye anakivizia kwa hamu kubwa kiatu hicho. Je unadhani nani kuibuka kinara wa magoli wa msimu 2021/22. George Mpole akimtoka mlinzi wa Simba Joash Onyango...
igi Kuu Tanzania Bara imeshapata bingwa wake, Mabingwa mara 28 wa kombe hilo,Yanga SC. Zifuatazo ni mechi ambazo zinachezwa siku ya alhamisi kwaaajili ya kufunga Ligi Kuu.