Kwa lililotokea jana Yanga wana haki ya kupewa ‘pointi’
Jana kulikuwa na mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara katika uwanja wa Sokoine kati ya Mbeya City na Yanga. Katika mchezo huo ulimalizika kwa timu zote kutoka sare ya goli 1-1, kuna mengi yaliyotokea ikiwemo vurugu ambazo zilianzishwa kwenye mchezo huo. Lakini kuna tukio moja ambalo lilitokea katika mchezo huo...