Ligi Kuu

Ligi Kuu

Wababe wa Yanga walazwa

Ligi kuu soka Tanzania bara hatua ya lala salama imeendelea tena leo kwa michezo mitatu ya mapema, ambapo Singida united ya kutoka mkoani Singida (wababe wa Yanga) imeangukia pua baada ya kuchapwa kwa 1-0 na timu ya soka ya Lipuli FC katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa....
Ligi Kuu

Jana Mlimtegemea Manji, Leo Mtengenezeni Manji wa Kesho.

Mpira ni pesa, hii kauli ina maana kubwa sana ingawa sisi tunaichukulia kawaida kwa sababu tumezoea kuchukulia vitu kawaida katika ukawaida usio wa kawaida. Mpira unatengeneza pesa nyingi sana kama ukiamua kuwekeza pesa , akili na muda kwenye mpira. Vitu hivi vitatu vina umuhimu mkubwa katika uwekezaji wa mpira biashara...
Ligi Kuu

Jumapili mubashara ya Ligi Kuu Bara

Tarehe Mechi Muda/Matokeo April 15, 2018 Azam FC vs Njombe Mji 0 - 0 April 15, 2018 Mbao FC vs Majimaji FC 2 - 2 April 15, 2018 Mwadui FC vs Stand United 1 - 3 April 15, 2018 Lipuli FC vs Singida United 1 - 0 Mwadui FC vs...
Ligi Kuu

Macho yangu yanamkubali Djuma, Masikio yangu hayamkubali Julio

Vipo vingi sana ambavyo hatujavipata na tunahitaji kuvipata ili kufikia sehemu ambayo tunaitaka. Tunataka mafanikio, mafanikio ni vigumu kuyapata kama hakuna mtu wa kuyajenga mafanikio haya. Kimsingi katika mafanikio ya mpira wajenzi ni wengi sana wanaohitajika ili kukamilisha hekalu letu la mpira wa miguu. Kuna wakati vidole vyetu viliimba sana...
Ligi Kuu

Yanga sc, kushushwa hadi nafasi ya tatu

Kikosi cha Azam FC, kilichosafiri hadi Ruvu mkoani Pwani kinataraji kushuka dimbani leo hii kuwakabili Ruvu shooting ya Pwani, katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Katika mchezo huo, Azam FC wanahitaji alama tatu ili kuwashusha mabingwa watetezi Yanga sc kwa muda kunako msimamo wa ligi ambapo Azam...
Ligi Kuu

Kilichomtokea Arteta ndicho kinachomtokea Nsajigwa

Dakika mbili za mwanzo zilitoa tumaini la Manchester City kupindua matokeo dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya. Kadri muda ulivyokuwa unaenda tuliamini kuna sekunde itawadia kwa Manchester City kufunga goli jingine la pili, goli ambalo lingeongeza morali ya wachezaji ndani ya timu Kipindi cha kwanza...
Ligi Kuu

Macho yangu yanatamani kumuona Lwandamina

Mvua ilikata ghafla, manyunyu yakabaki katika anga la klabu Yanga. Dalili ya kwamba mvua ya neema ilikuwa inapotea na kiangazi kukaribia zilianza kuonekana baada ya mwenyekiti wa timu hiyo Ndugu. Yusuph Manji kujiweka pembeni na klabu hii. Hali ilianza kubadilika taratibu kwa sababu Ndugu. Yusuph Manji ndiye alikuwa kiungo muhimu...
1 83 84 85 86 87 94
Page 85 of 94