Kuna swali limekuwa likiulizwa sana kwangu iwe DM au kwa njia yeyote ile Kuhusiana na mazingira Ya mchezaji kushangilia goli kwa kuvua jezi wakati alikuwa na kadi ya njano
“Katika mechi hiyo tuiliibuka na ushindi wa goli 3-0, nilifunga goli la kwanza, na rafiki yangu Albert alifunga la pili, na goli la tatu ndilo goli lililowashangaza wengi, na mimi nikiwa ni miongoni mwao..”
Kocha wa timu ya Taifa ya Italy Roberto Mancini amesema kitendo cha ubaguzi alichofanyiwa mshambuliaji kinda wa Juventus Moise Kean sio cha kuvumiliwa hata kidogo. Mancini amesema adhabu kali na nzito inatakiwa kutolewa kwa mashabiki wa Cagliari ili kuzia tukio kama hilo ambalo limetokea kwa mara ya tatu ndani ya...
Mchezaji kinda wa Juventus Moise Kean jana amekutana na wakati mgumu baada ya mashabiki kumtolea maneno ya kibaguzi wakati timu yake ikiwa uwanjani ikipambana na Cagriali kwenye muendelezo wa ligi kuu nchini Italia. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 19 alionekana akiushika mkono wake baada ya kufunga bao la pili,...
Wachezaji nyota Ulimwenguni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanarejea kuzitumikia timu zao za Taifa kwa mara ya kwanza toka kumalizika kwa michuano ya kombe la dunia iliyomalizika mwaka jana nchini Russia. Messi anatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa leo Ijumaa ambapo Argentina watacheza dhidi ya Venezuela jijini Madrid kwenye mchuano wa...
Kocha wa Napoli Carlo Ancelotti amesema hali ya mlinda mlango wa timu hiyo David Ospina aliyepoteza fahamu jana kwenye mchezo wa ligi ya Italia (Seria A) kati yao na Udinese inaendelea vizuri na hakuna jambo kubwa sana la kiafya. Ancelotti amesema wanashukuru baada ya vipimo imeonesha kuwa Ospina hana tatizo...
Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
Imeripotiwa kuwa klabu ya soka ya AS Roma ya nchini Italy ipo mbioni kumtangaza kocha aliyetimuliwa hivi majuzi kunako klabu ya Fulham ya England Claudio Ranieri kama kocha wao mpya. Roma ambao waliachana na kocha wao Eusebio Di Francesco baada ya kuondolewa kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya...