Jonesia ndiye mwanamke pekee atakayeshika kipenga kama mwamuzi wa kati, Wanawake wengine ni pamoja Mary Njoroge (Kenya) Lidwine Rakotozafinoro (Madagascar)
Kocha wa timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) Mshami Vincent amewaita wachezaji 27 wa kuunda kikosi cha awali cha timu hiyo kujiandaa na mchezo wa kufuzu kwenye fainali za mataifa Afrika (AFCON) dhidi ya Ivory Coast mjini Abidjan. Katika kikosi hicho mchezaji pekee anayecheza ligi kuu Tanzania Bara Meddie Kagere...
Kila mtu ana jicho lake, jinsi anavyokiona kikosi cha Amunike. kuna wanaoona kikosi kimesheheni mabeki watupu, kuna wanaoona kikosi kiliwahitaji baadhi ya nyota ambao hawakuitwa. Lakini jambo pekee la msingi la kushika ni kwamba UKOCHA NI TAALUMA.