Kombe la Dunia

Kombe la Dunia

Mambo Saba yanayotokea nje ya pazia kombe la dunia

Kombe la dunia ni tukio ambalo huleta hisia za watu wengi kuwa pamoja, watu hukutana kwa pamoja na kuzungumza lugha moja ambayo huwa inakuwa yenye hisia moja ambayo ni mpira. Tangu mwaka 1930 lilipoanza kombe hili la dunia nchini Uruguay, watu wengi wamekuwa wakitamani kuweka historia ya pamoja. Kumbukumbu nyingi...
Kombe la Dunia

Ni Diamond tena Russia

Mwimba muziki nguli  kutoka Marekani Jason Joel Desrouleaux, maarufu kama Jason Derulo amechaguliwa kutunga wimbo maalum wa Kombe la Dunia litakalofanyika Russia mwaka huu. Jason Derulo  maarufu kwa uimbaji, uandishi wa nyimbo na kucheza kutoka Marekani, anafuata nyayo za Shakira, Anastaca na Pitbul waliwahi kuimba nyimbo hizo kwenye makombe ya...
Kombe la Dunia

Ujio wa Infantino waja na neema kwa mashabiki

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limeongeza tiketi kwa Tanzania kwaajili ya fainali za kombe la Dunia zitakazochezwa Russia mwaka huu, kwa mujibu wa taarifa kutoka shirikisho la soka Tanzania, TFF. Kwa shabiki yeyote anayetaka kwenda kushuhudia fainali hizo za Kombe la Dunia awasiliane na idara ya mashindano ya...
Kombe la Dunia

‘Msituumizie’ katika kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Uingereza itashiriki pia katika michuano ya kombe la dunia huko Urusi. Kocha mkuu wa kikosi hicho, Gareth Southgate, ameruhusu wachezaji wake kuongozana na Wake na Wapenzi  (WAGs -Wife and Girlfriends) wao katika michuano hiyo. Hapa tumekuwekea picha ya warembo mbali mbali ambao huenda wakawasindikiza nyota wa michuano...
1 2 3 4
Page 4 of 4