Simba inaenda kukutana Tp Mazembe katika mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam huku ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya kuwafunga Wacongo wenzao AS Vita katika dimba hilohilo la Taifa.
Hii Simba SAMPULI, BAKA YA ILE MIAKA, YATULIZA BOLI TULI, MPIRA KWENYE UKOKA, YANGA KUCHA HAWALALI, KWANINI WANATESEKA?, THIS IS SIMBA mkubali, TAIFA KUBWA Afrika!