Kati ya timu 8 zilizofuzu, hakuna timu hata moja iliyopata ushindi katika michezo minne isipokuwa Esperance De Tunis ya Tunisia. Esperance katika kundi B imejikusanyia jumlaya alama 14 ikishinda michezo yote mitatu ya nyumbani na mmoja wa ugenini dhidi ya FC Platinum na kupata sare mechi mbili dhidi ya Horoy
Amepiga “successful tackle” moja, alitumika kama winga wa kushoto. Pale alipopata nafasi ya kushambulia, alifanya hivyo na alileta madhara, ndio maana ya goli lake. Anastahili kupata alama alizo zipata
Mechi za mzuunguko wa kwanza zinatarajiwa kupigwa kati ya tarehe 6-7 ya mwezi Aprili na zile za raundi ya pili ni kati ya tarehe 12-13 ya mwezi huo huo.