Mchezo wa awali wa fainali dhidi ya Waydad Casablanca ulimalizika kwa mabao 1-1 na mchezo wa pili ulivunjika baada ya utataa wa VAR (Video ya Usadizi kwa Mwaamuzi).
Simba inaondoka leo hii kuelekea Lubumbashi nchini Congo ƙkwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya TP Mazembe. Kwa mujibu wa Meneja wa timu hiyo Patrick Lweyumamu amedai kuwa msafara wa Simba utaondoka na ndege maalumu ya kukodi. Pascal Wawa akiwa anasikilizia maumivu dakika kadhaa tu baada ya mchezo kuanza....