Mabingwa AfrikaShirikisho AfrikaSimba, Yanga na TFF walivyobeba mamilioni ya CAF kwa mara ya kwanza.Mwandishi Wetu1 year agoNeema ya fedha hizo si tu inawakuta Simba na Yanga bali pia Shirikisho la soka nchini TFF wanahusika katika fedha hizo.
Mabingwa AfrikaKocha Simba: Ni historia haikua rahisi.Mwandishi Wetu1 year ago Nawapongeza wachezaji wangu kwa kuweza kufuata maelekezo tuliyowapa na kusababisha kupata ushindi huu
Mabingwa AfrikaSimba yafanya balaa kwa Mkapa, Chama atuma salamu kwa MamelodiMwandishi Wetu1 year agoSimba sasa wameshafuzu kwenda robo fainali hivyo mchezo wa mwisho wa kundi lao dhidi ya Raja Casablanca ugenini utakua ni wakukamilisha ratiba.
Mabingwa AfrikaKocha Simba: Tumejiandaa lengo letu ni robo fainaliMwandishi Wetu1 year agoSimba wanapaswa kukumbuka jinsi walivyoifunga AS Vita na kutinga robo fainali mwaka 2019 na kutinga robo fainali wakipita katika kundi lao na Al Ahly.
Mabingwa AfrikaSimba: Tunafuzu kwenda robo bila mashabiki kuingia bure.Mwandishi Wetu1 year agoAidha pia Ahmed amesema wao hawawezi kuweka kiingilio bure katika mchezo huo kama ambavyo Mamelody Sundowns walifanya dhidi ya Al Ahly
Mabingwa AfrikaSimba ni Chama, Chama ni Simba.Mwandishi Wetu1 year agoSimba watajilaumu wenyewe kwa kutoka na ushindi mwembamba kwani walitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini hawakuzitumia
Mabingwa AfrikaRobertinho: Wachezaji wamebadilika, tunafuzu.Mwandishi Wetu1 year agoPia kocha huo ameongeza wapinzani wake anawajua kwani amewasoma vyema na anajua jinsi ya kuwadhibiti Waganda hao.
Mabingwa AfrikaSimba: Utachagua alama tatu au kucheza vizuri.Mwandishi Wetu1 year agoMechi dhidi ya Horoya tulicheza vyema lakini hatukupata matokeo sasa utachagua ucheze vizuri au upate alama tatu
Mabingwa AfrikaSimba: Tumefufuka kwelikweli, CAF ndio wapanga ratibaMwandishi Wetu1 year agoHatupo tayari kuishia hatua ya makundi. Tulikwenda kuchukua alama tatu kwa Vipers lakini hatujamaliza
Mabingwa AfrikaShirikisho AfrikaYanga ina nafasi, Simba wanahitaji maombi kufuzu!Thomas Mselemu1 year agoAma kwa hakika Simba ana wakati mgumu zaidi kufuzu ukilinganisha na Yanga ingawa kila kitu kinawezekana katika soka.