Mashindano

Ukurasa maalumu kwaajili ya mashindano makubwa yote tunayoweza kuandikia katika bara la Afrika na Ulaya pekee. Mshindano mengine habari zake zinaingia katika sehemu ya Blog

Shirikisho Afrika

Yanga sc yapewa kiboko ya Zamalek

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, watavaana na klabu ya Walayta Dicha ya Ethiopia katika mchezo wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la barani Afrika. Hiyo itakuwa ni mara ya pili kwa klabu hiyo ya Ethiopia kuja nchini, ambapo mwezi Februari walikuja visiwani...
Shirikisho Afrika

Mpinzani wa Yanga sc kujulikana wiki hii

Yanga sasa itacheza kombe la shirikisho Afrika baada ya kuondolewa kunako ligi ya vilabu bingwa Africa, kanuni za CAF katika round hii ya 16 ni kwamba timu 16, ambazo hazikufuzu hatua ya makundi klabu bingwa zitakutanishwa na timu 16, zilizofuzu hatua ya kwanza michuano ya kombe la Shirikisho na droo...
Mabingwa Afrika

Lwandamina aunguruma Botswana, asema wapo tayari

Kocha mkuu wa mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, Mzambia George Lwandamina, "Chicken" amesema kuwa kambi yao inaendelea vizuri kuelekea mchezo wa marejeano wa ligi ya mabingwa Afrika, dhidi ya wenyeji wao Township Rollers ya Botswana Yanga sc, ambayo imepiga kambi kunako Hotel ya Crystal Palace mjini Gaborone, inataraji...
Mabingwa Ulaya

Mourinho alivyojikaanga na mafuta yake mwenyewe

Manchester United wamesukumwa nje ya michuano ya Uefa Champions league, hii ndio lugha nzuri unayoweza kuitumia, katika mchezo ambao Sevilla wameondoa lile jinamizi baya la kutofanya vizuri kunako ardhi ya malikia Ndio Sevilla wamefanikiwa kuondoa jinamizi, kwa maana hapo kabla walicheza michezo minne nchini Uingereza wakiambulia sare tatu na kufungwa...
Mabingwa Ulaya

Dondoo muhimu kuelekea mechi ya Man U dhidi ya Sevilla.

Kuelekea mechi ya marudiano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kati Mashetani Wekundu Manchester united dhidi ya Sevilla ya Hispania nini tutegemee? Baada ya kupata matokea mazuri dhidi ya mahasimu wao Liverpool weekend hii Manchester United ambao wanapewa nafasi kubwa kusonga hatua ya robo fainali lakini bado wanakibarua kigumu mbele...
Shirikisho Afrika

Walipo’chemka’ Simba ni hapa!

Licha ya kuwa na CV nzuri na uzoefu katika soka nini kilikuwa kikwazo katika timu ya Simba hususani katika mechi yao dhidi ya Almasry ya Misri? Kwa mawazo na mtazamo wangu ilikuwa game ya wazi na ya ushindi kwa Simba ikiwa ipo nyumbani na kikosi cha wachezaji 12 (na mashabiki)....
Shirikisho Afrika

Giza la Yanga ni mwanga wa Simba

Jana giza liliingia mapema sana hapa nchini, giza ambalo lilikuja na majonzi makubwa sana kwa Watanzania wengi Muambatano huu wa giza na majonzi umedumu kwa muda mrefu bila mwanga kuonekana mbele ya mboni za macho yetu. Usiku umekuwa mrefu sana kwetu na kibaya zaidi usiku wetu ulianza mapema sana. Jua...
Shirikisho Afrika

Simba ikiyafanya haya machache Waarabu wamekwisha

Mara baada ya Yanga sc kuangukia pua hapo jana kwa kukubali kichapo wakiwa nyumbani cha mabao 2-1 kutoka kwa Township Rollers, leo wawakilishi wengine kwenye michuano ya kombe la shirikisho hapa nawazungumzia wekundu wa msimbazi Simba sc, watashuka kwenye uwanja wa taifa kuwakaribisha Al Masri ya kutoka Misri Kuelekea katika...
1 40 41 42 43 44 45
Page 42 of 45
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.