Shirikisho AfrikaMoto wawaponza Simba CAF.Thomas Mselemu2 years agoSimba iatapaswa kulipa pesa hizi ndani ya siku 60 tangu kutoka kwa hukumu hiyo, lakini pia wana siku tatu za kukataa rufaa.
Shirikisho AfrikaChama cha Soka Afrika Kusini waishtaki Simba CAF.Thomas Mselemu2 years agoNa ina uwezo wa kuharibu uwanja na tunaamini haikuwa kwa njia yoyote inayohusiana na michezo
Shirikisho AfrikaKiongozi Simba: Pablo haendi popote, tuna ofa kibao za wachezaji wetuThomas Mselemu2 years agoHizi taarifa za kocha sijui mmezitoa wapi. Hakuna tasarifa yoyote ya klabu iliyosema kuhusu kumfukuza kocha
Shirikisho AfrikaMwenyekiti: Simba tunastahili pongezi, ule haukua moto.Thomas Mselemu2 years agoKwenye ile video mimi binafsi sikuona moto labda tuu kuna picha zilizotengenezwa zinasambaa.
Shirikisho AfrikaHamkutaka tumkokee moto babu yetu Onyango!?©️Mdidi the Writer2 years agoCAF wanatakiwa watoe adhabu kwenye haya Mambo kama inavyofanya TFF
Shirikisho AfrikaKiongozi: Simba hatujarudi nyuma.Thomas Mselemu2 years agoMsimu wa tatu tunaishia robo fainali inaumiza lakini kwa upande mwingine inatia matumaini na faraja kwamba tunamaintain ubora wetu
Shirikisho AfrikaMpira wa Afrika na mauzauza yake kwa Simba!©️Mdidi the Writer2 years agoHawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine
Shirikisho AfrikaUkweli ni kwamba Simba uwezo wao ni robo fainali!Mwandishi Wetu2 years agoUmemfikiria Luis Miquissone ??umemfikiria Clotaus Chama?? umemfikiria Okwi?? unawafikiria lakini?? nauliza umewafikiria hao watu,je? ni team gani Tanzania wachezaji hao watakaa benchi??
Shirikisho AfrikaSimba hii ni tofauti itafuzu nusu fainali!Tigana Lukinja2 years agoKwa mujibu wa tafiti hakuna mchezaji aliyekufa uwanjani kwa ajili ya kukaba hivyo Simba ndiyo ikawe silaha ya' kukaba hadi kivuli'.
Shirikisho AfrikaWaziri: Afrika Kusini ni salama kwa Simba!Thomas Mselemu2 years agoWaziri huyo ameyasema hayo baada ya mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba Barbara Gonzalez kuomba ulinzi kwa serikali ya Tanzania