Breaking news zote ambazo hazithibitishwa au ni Umbea tu wa mtaani. Ikiangalia masuala yanayohusu mpira wa miguu pekee tu. Kandanda hufanya utafiti kwenye baadhi ya habari hizi na kuzitolea ufafanuzi sahihi.
Kutokana na akili kubwa ya mpira aliyokuwa nayo ndio sababu kubwa inayomfanya aweze kucheza maeneo tofauti uwanjani na ndicho kilichoivutia zaidi Simba.
Ikiwa ana msimu mmoja tuu na Simba akijiunga nao akitokea Teungueth ya nchini kwao Senegal ameonekana kuwa moja ya nyota tishio kwa Wekundu wa Msimbazi.
Baada kuanza kwa kipigo cha mabao matatu kwa sifusi West Brom wanahitaji mshambuliaji wa kwenda kuongeza nguvu katika eneo la mbele huku wakiona Mbwana Samatta