Uhamisho

Dondoo, Taarifa, Uchambuzi na Matukio yanayohusu uhamisho wa wachezaji Ligi zote Ulimwenguni

Uhamisho

Sehemu ipi sahihi kwa Sanchez? Manchester City au United?

Kuna habari za kocha wa Manchester United, Jose Mourinho kuonekana kumtaka Alexis Sánchez, mchezaji kutoka kwa hasimu wake mkubwa, Arsene Wenger (Kocha wa Arsenal FC). Hii ni baada ya taarifa za awali kuonekana Manchester City kumwihitaji Alexie Sanchez tangu dirisha la usajili la majira ya joto na dirisha hili la...
Uhamisho

Pep anavyomuhitaji Sanchez

Kwanza tunaanza kumtazama Pep Guardiola namna alivyokijenga kikosi cha Manchester city aina ya uchezaji kwenye kikosi chake. Pep ni moja kati ya walimu wajanja sana, ukiangalia kikosi cha Manchester city namna kinavyocheza licha ya kumsukuma mpinzani kurudi kwenye eneo lake, lakini pia imekuwa na uwezo mkubwa wa kumiliki mpira kwenye...
Uhamisho

City wamkomalia Sanchez

Klabu ya Manchester city wanataraji kutoa ofa mpya kwa mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez 29, na wanaamini kuwa Arsenal wataruhusu raia huyo wa Chile kuondoka mwezi huu Sanchez yuko tayari kurejea kima cha pauni milioni 25 kuhakikisha kuwa anajiunga na Manchester city Arsenal watamruhusu Sanchez kuondoka endapo watapokea hadi pauni...
Uhamisho

Arda Turan kutimkia Uturuki

Kiungo mshambuliaji wa Barcelona ya Hispania anakaribia kujiunga na klabu ya Istanbul Basaksehir ya nchini Uturuki Istanbul Basaksehir inayoongoza kunako ligi kuu ya soka Uturuki wakiwa na alama 36, baada ya kushuka dimbani mara 17, wakipishana kwa alama moja na Garatasaray walio katika nafasi ya pili na alama zao 35,...
EPLUhamisho

Ross Barkley anakuja kuisaidiaje Chelsea?

Chelsea katika dirisha hili dogo la usajili wamefanikiwa kumchukua kiungo Ross Barkley kutoka katika timu ya Everton. Wana idadi kubwa ya viungo wa kati kama Kante, Bakayoko, Fabregas, Danny Drink-Water. Viungo wote hawa kuna kitu Chelsea wanakosa katika eneo hili la kiungo ? Hebu tujaribu kuwatazama viungo waliopo kwa sasa....
La LigaUhamisho

Yupi anafaa kukaa kwenye kiti cha Coutinho?

Jumatatu ndiyo siku ambayo inasubiriwa kukamilisha ndoto ya Phillipe Countinho. Ndoto ambayo aliipigania kuanzia dirisha la majira ya joto la usajili lililopita lakini Liverpool alipigana kumbakisha. Walifanikiwa kumbakisha, wakaamini wataendelea kufanya chochote wanachoweza kufanya ili abaki Liverpool. Lakini jitihada zao zilikuwa bure kwa sababu mwili wa Phillipe Countinho ulibaki Liverpool...
EPLLa LigaUhamisho

Coutinho njia nyeupe Barcelona

Huenda nyota wa klabu ya Liverpool, Mbrazili Philippe Coutinho akawa anaelekea katika klabu ya FC Barcelona kwa ada ya pauni milioni 133 kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari vingi. Klabu ya Liverpool inaangalia uwezekano wa kumpata Thomas Lemar kama mbadala wa Coutinho. Thomas Lemar anaangaliwa kuwa mbadala wa Phillipe Coutinho...
Ligi KuuUhamisho

Mgosi ‘again’? Naweka karata yangu kwake

MUSSA Hassan Mussa Mgosi amerudi tena uwanjani baada ya miezi kadhaa kujitokeza uwanja Taifa kulikokuwa kumetamalaki mashabiki wa Simba na kuchukua kipaza sauti na kusema ameamua kustahafu soka. Japo nilikuwa mbali na Mgosi alipokuwa akizungumza maneno yale, lakini alionekana kama mtu aliyestahafishwa sio kustahafu kwa matakwa yake. Alitoa chozi la...
Ligi KuuUhamisho

Kwasi Ruksa kwenda Simba Sc

Taarifa hii ni kutoka katika klabu ya Lipuli Fc. Uongozi wa LIPULI FC unapenda kutoa taarifa kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wake juu ya hatma ya mchezaji Asante Kwasi ambaye toka kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu amekuwa mchezaji halali wa LIPULI FC lakini ktk siku za hivi...
1 15 16 17 18
Page 17 of 18
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.