"Walianza kunifwatilia muda tuu kumbe hata kabla ya kusaini Dodoma Jiji, waliniona na wakaomba video zangu wakatumiwa mechi nilizocheza na kocha akapendekeza jina langu kusajiliwa katika timu yake.
Rashid Juma ni zao la Simba B ambapo alifanya vizuri akiwa chini ya Mwalim Mussa Hassan Mgosi na kupelekea kupandishwa kikosi cha wakubwa kilichokua chini ya Patrick Auseems