Zikiwa zimesalia dakika tano matokeo yakiwa ni 1-1 huku West Ham wakihitaji point tatu muhimu, wana London wengi hawakumuelewa Di Canio akiwepo kocha wake Harry Redknapp
Binafsi nililala na viatu kwenye dirisha la usajili la kiangazi la 2012. Sikuwahi kufikiria kwamba Robin Van Persie angeondoka Arsenal ghafla msimu ule,