Ligi Kuu

Mrithi wa MASOUD DJUMA apatikana.

Sambaza....

Baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kocha msaidizi. Klabu ya Simba imefanikiwa kupata kocha msaidizi ambaye atakuwa anashirikiana na kocha mkuu Patrick Assumes.

Kitambi (katikati)

Denis Kitambi ndiye alichaguliwa kuwa kocha msaidizi wa Simba. Mtanzania huyu kabla ya kuja Simba alikuwa anafundisha soka katika nchi ya Bangladesh.

Pia aliwahi kufundisha mpira katika nchi jirani ya Kenya alipokuwa na klabu ya Fc Leopards ya nchini Kenya.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.