Ambokile
Ligi Kuu

Nani kumpita Ambokile wikiendi hii?

Sambaza....

Ligi kuu Tanzania bara itarejea tena viwanjani kwa michezo nane itachezwa siku ya jumamosi hii katika viwanja tofauti. Hii ni ratiba kamili na orodha ya waliofunga mabao mwezi huu.

Wafungaji Bora Mwezi wa Kumi

Na.MchezajiTimu Michezo
1Meddie Kagere6049
2John R. Bocco4040
3Fiston Mayele3228
4Vitalis Mayanga2523
5Ayoub Lyanga2525

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.