EPL

Nani yupo nyuma ya matokeo mazuri ya Man Utd

Sambaza....

Je, wengi wetu tunalitambua jina hili la Mike Phelan?
Basi kama unalitambua, huyu ndio mhimili wa Manchester United kwa sasa japo credit nyingi zinakwenda kwa Ole Gunnar Solskjaer
Kama vile wasemavyo watu wazima “Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke” basi ndio kilichopo kwa manchester utd….”Nyuma ya Solskjaer kuna huyu mzee wakuitwa Mike Phelan

Mike Phelan (Kulia) akiwa na Ole (Kushoto)

Hongera sana baba kwa kuja kutuletea idea tulizozimiss kwa muda mrefu wa takriban miaka 9 na miezi kadhaa Mike Phelan
Tusimpe hongera nyingi Ole bila ya kumsahau na huyu mzee Mike Phelan

Image result for mike phelan and solskjaer

Salute Manchester United Coaching Staff
Thank you
Prepared by Amran Moses


TUANDIKIE TUKUWEKEE KWENYE TOVUTI

Wewe ni Shabiki wa Kandanda? Unaandika makala? Iwe kwaajili ya Timu yako ya Nje au Ndani! Au maoni yako tu.
Tutumie habari@kandanda.co.tz tutaihariri na kuiweka katika tovuti ya kandanda.co.tz
#KandandaChat


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.