Ligi Kuu 18/19: Magoli Feb19

Sambaza....

Mwezi uiliopita Mfungaji bora alikuwa ni Salimu Aiyee, akifunga mabao matano, Dickson Ambundo kutoka Alliance Fc ndiyo alikuwa alimfuatia akiwa na bao 4. Je Mwezi huu kandanda itasheherekea na nani? Ambundo au Kagere na Okwi ambao wamesharudi ligi kuu nao? Fuatilia hapa hadi mwisho wa mwezi.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.