Tovuti ya Kandanda inasheherekea na wachezaji waliofunga magoli mengi zaidi kila mwezi, Tazama hapa kujue rekodi ya waliopita.
Mwezi | Jina | Magoli |
Novemba 2018 | Heritier Makambo | 3 |
Oktoba 2018 | Emmanuel Okwi | 7 |
Septemba 2018 | David Ambokile Eliud | 4 |
Agosti 2018 | Meddie Kagere | 3 |
Wafungaji bora wa Msimu huu, Mzunguko wa Kwanza bofya hapa.