
Wafungaji kwa Mwezi
Mtandao wa Kandanda unarekodi idadi ya magoli yaliyofungwa wakati wa mechi za ligi kuu, Tukiwa na lengo la kusheherekea pamoja na wachezaji wanaoongoza katika ufungwaji magoli kila mwezi na msimu mzima. Msimu wa 2019/2020 Kandanda imeboresha zawadi zaidi baada ya sehemu hii ya zawadi kupewa nguvu na Mgawaha wa Mgahawa Cafe & Restaurant unaopatikana Jijini Dar es Salaam.