BlogAigle Noir: Show lazima iwe nzuri keshoThomas Mselemu2 years agoTuna wachezaji wengi hata sisi pia, huyu (Bumbuli) amesema maneno mengi, hata sisi tuna wacheza kutoka Ivory Coast, Cameroon na wengine wanatoka hapahapa Tanzania pia.