Ahmed Alli pia katika hafla hiyo amesema John Bocco aliwahi kumwambia Simba haipaswi kununua mchezaji wa miaka 18 halafu ikawa inasubiri akomae ndio wamtumie.
Goli la tatu Baleke alilifunga katika dakika ya 34 kwa kupata pasi ya kichwa kutoka kwa Shomary Kapombe baada ya kuunganisha mpira wa juu uliopigwa na Sadio Kanoute "Putin".
Siwezi kukuombea mazuri wewe na wenzio mkiwa uwanjani na timu yenu , lakini kama rafiki yako nitaendelea kukuheshimu daily , Kwa unachoendelea kutoa Kwa ajili ya football ya nchi hii.
Tanzania ishawahi kubarikiwa washambuliaji wengi wazuri wa kati . Inawezekana kizazi hiki kipya kinaweza kisikuelewe sana kama ukiamua kutaja washambuliaji...
Ikumbukwe katika mchezo wa kwanza uliisha kwa sare ya mabao mawili kwa mawili baada ta Yanga kufuta uongozi wa mabao mawili ya Simba ndani ya dakika 5.