Mabingwa UlayaZlatan: Makombe yanamuogopa MourinhoThomas Mselemu4 years agoYeye ni aina ya Meneja ambaye haogopi chochote. Yeye ni kama Zlatan. Haogopi bosi wa Klabu, Wacheza, Wanahabari. Kitu pekee anachokuwa akiogopa ni
StoriBruno Fernandes: Bahasha ya kaki kwa wasakatonge!Ze Mafia4 years agoMkishampa Rashford huo u’daktari wa heshima, basi Mpeni na Bruno Uganga wa heshima.
EPLPogba: Naenjoy soka United!Thomas Mselemu4 years ago"Unaweza kusema kwamba timu imebadilika sana. Tunacheza kama timu kuliko vile tulivyofanya hapo awali
StoriSaid Ndemla amefufuka amekua Paul Scholes mpya!Tigana Lukinja4 years ago, kama alipata kumuona labda kuna vitu alicopy kwake, kwa kile nilichokiona kwake jana akili yangu ilihama na kudhani Scholes amerejea kucheza soka.
BlogIbrahim Ajib ndie Anthony Martial wetu?Thomas Mselemu4 years agoVile ambavyo mashabiki wa United wanamuona Martial kama mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu na hajafika wanapotaka ndivyo ambavyo Ibrahim Ajib
UhamishoPogba atacheza na Fernandes!Thomas Mselemu4 years agoStam pia hakusita kutamani kuona muunganiko wa Pogba, Mac Tominay na Bruno katika eneo la kati la United.
EPLRekodi nzito ya Martial kwa wapinzani wao!Thomas Mselemu4 years agoKatika ubabe wa Ole kwa Pep ni kwa kiasi kikubwa Martial ndio silaha kubwa ya Ole na kuweza kuufanya mji wa Manchester kua ni mwekundu na sio bluu.
UhamishoKroose: Ningekua mchezaji wa Man United!KandandaTz4 years agoMpaka sasa Kroose anaitumikia Real Madrid chini ya Zinedine Zidane huku akiwa mchezaji alieshinda vikombe vyote kwa ngazi ya klabu na timu ya Taifa.
EPLMan U yapigwa viwili vya haraka harakaMartin Kiyumbi4 years agoUshindi wa kwanza wa Nigel Pearson kama kocha mkuu wa Watford umepatikana Leo ndani ya dakika 4 wakifanikiwa kufunga magoli...
EPLNi mapema kwa Manchester United kukitupa kinanda cha SanchezMartin Kiyumbi5 years agoMatumaini yao makubwa yalikuwa kumuona Sanchez akifanya vizuri ndani ya jezi hiyo lakini kwa bahati mbaya hakufanya vizuri.