Ligi KuuNani anaibeba Simba Sc?Thomas Mselemu4 years agoKlabu ya Simba ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, imebakiwa na mchezo mmoja tu kumaliza mzunguko wa kwanza dhidi ya Alliance.