TetesiUncle Ngassa aipa mkono wa kwaheri Yanga!Thomas Mselemu4 years agoNgassa ama "Enjoy soccer" inaonekana ni miongoni mwa wachezaji 13 ambao Yanga inatarajiwa kuachana nao katika kipindi hiki baada ya Ligi kumalizika.
StoriMrithi Mrisho Ngassa awe Dickson AmbundoMartin Kiyumbi4 years agoMrisho Ngassa bado yupo Yanga , hana nguvu sana ukilinganisha na nguvu alizokuwa nazo misimu mingi iliyopita
BlogMuda huu Samatta alitakiwa awe anavunja rekodi za Mrisho NgassaMartin Kiyumbi4 years agoKuna tofauti kubwa baiba yao muda huu, Ngassa alitakiwa awe kioo cha kila mafanikio ambayo tunayaona sasa..
BlogRasmi njaa yaisha YANGA , wachezaji kunenepa!Martin Kiyumbi4 years agoBaada ya kupitia nyakati ngumu , klabu ya Yanga kwa sasa iko kwenye nyakati za Neema. Yanga ilikuwa imeshindwa kulipa...
LigiNisipowafunga SIMBA kachomeni nyumba zangu moto-Mrisho NgassaMartin Kiyumbi4 years agoHoma ya pambano la jadi kati ya Simba na Yanga inazidi kupanda kila uchwao. Hii ni mechi ambayo hushika hisia...
BlogUncle alijiandaa kushindwa, wacha ashindweAbdul Mkeyenge4 years agoUNCLE Mrisho Ngassa siku hizi anashinda mitandaoni kulalamika kuhusu madeni yake na Yanga. Analalamika sana mpaka anatia huruma.
Ligi KuuYANGA ni kubwa kuliko mchezaji, Ngassa atulie – NUGAZMartin Kiyumbi4 years ago Baada ya sakata la Yanga na Mrisho Khalfan Ngassa kupamba moto kwenye mitandao ya kijamii kutokana na Mrisho Khalfan...
Ligi KuuAnayestahili kuwa nahodha wa Yanga huyu hapa.Sekwao Mwendi5 years agoYanga bado ipo katika maandalizi ya msimu wa Ligi Kuu Tanania bara na michuano mingine ya kimataifa. Nani anafaa kuwa nahodha wa timu?
Ligi KuuNGASSA; Yanga ni ‘klabu ya maisha yangu’ nitasaini muda wowoteBaraka Mbolembole5 years agoNgassa ambaye alifunga magoli saba katika ligi kuu Tanzania Bara msimu uliopita ni kati ya wachezaji ambao mkuu wa benchi la ufundi la klabu bingwa hiyo ya kihostoria nchini, Mwinyi amependekeza kuongezewa
Ligi KuuBado Ngassa ana ndoto ya kucheza Soka la kulipwa !Martin Kiyumbi5 years agoNi kitu kikubwa sana chenye ushujaa. Baada ya mechi dhidi ya Mbao FC, kinywa chake kilitamka matamanio yake ya kucheza Ulaya tena kwa mara nyingine..