Nyota wa kimataifa wa Taifa Stars ajiunga na matajiri wa Botswana.
Kiungo wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Abdalla Hamis amejiunga na timu ya Orapa United FC ya nchini...
Yanga yatemwa!
Ilikuwa Simba wacheze na Yanga ili kufahamu nani atacheza na Sevilla lakini baada ya kuangalia mambo kadhaa wamekubaliana na SportPesa kuwa Simba ndio wanaopaswa kucheza na timu hiyo kutoka Uhispania.
Mambo matano mapya mechi ya Simba SC dhidi ya AFC Leopard.
Si tukio la kawaida sana katika soka lakini limejitokeza katika mechi ya Simba na Leopard. Chama alizozana na mwamuzi baada Mzamiru Yasin kumfanyia rafu mchezaji wa Leopard,