Sipendekezi uwanja wa Taifa kuitwa KWA MKAPA!
Tumkumbuke kupitia hospitali ya kimataifa ya Dodoma, tumkumbuke kupitia barabara na pia tumkumbuke kuwa ndiye aliyejenga huu uwanja lakini tuvae miwani ya kibiashara.
Mwakyembe aitembelea Serengeti boys
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, leo hii Jumamosi Januari 20, 2018 ameitembelea kambi ya timu...