Coastal Union FC vs Namungo FCThomas Mselemu4 years agoCoastal Union ilikua timu ya kwanza kuifunga Namungo fc katika uwanja wake wa nyumbani msimu huu. Je Namungo watalipa kisasi, huku wakiwa wanatofautiana alama moja tu katika msimamo.