Insta ya Cristiano Ronaldo imenifanya nimkumbuke Ngassa na Kaseja.

Sambaza…. “Kiyumbi nenda Instagram kuna Email nimekutumia”, huu ndiyo ujumbe wa simu wa kwanza kuusoma leo hii kwenye simu yangu kutoka kwa rafiki yangu mkubwa sana. Sekunde sikuziruhusu zipite nyingi, vidole vyangu vilijongea taratibu mpaka Instagram, mtandao ambao umekuja kuzima zama za Facebook. Watu maarufu ni nadra kuwaona wakitumia kwa ukubwa Facebook, Instagram imekuwa sehemu … Continue reading Insta ya Cristiano Ronaldo imenifanya nimkumbuke Ngassa na Kaseja.