Kocha mpya wa Yanga ana damu ya kubeba VIKOMBE

Sambaza…. Yanga imemtangaza rasmi Mrithi wa Mwinyi Zahera ambaye alikuwa kocha wa Yanga , Baada ya Mwinyi Zahera kuachana na Yanga , Yanga walibaki na Charles Boniface Mkwasa kama kocha wa muda. Wamemtaja rasmi Kocha mpya ambaye ni Luc Eymael , ni kocha ambaye ana uzoefu mkubwa sana na soka la Afrika. Kocha huyu ametokea … Continue reading Kocha mpya wa Yanga ana damu ya kubeba VIKOMBE