Mabati ya Azam Fc, Yamenawirisha paa la Simba

Sambaza…. Abdul Mohamed alikuwa na maono, maono ambayo yalikuwa ni msingi wa kuiimarisha Azam FC na kuwa timu imara kwa muda mrefu Aliamini katika karatasi zake alizotumia kuandika maono yake, usingizi ulikuwa siyo rafiki kwake bila kusoma karatasi za maono yake. Karatasi ambazo zilikuwa na njia ambayo ilikuwa inamuonesha ni wapi anatakiwa kupitia ili kufika … Continue reading Mabati ya Azam Fc, Yamenawirisha paa la Simba